1 Wafalme 18:16 - Swahili Revised Union Version16 Basi, Obadia akaenda zake amwone Ahabu, akamwambia; naye Ahabu akaenda kumlaki Eliya. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Basi, Obadia akaenda kwa mfalme Ahabu, akampa habari hizo. Naye Ahabu akaenda kukutana na Elia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Basi, Obadia akaenda kwa mfalme Ahabu, akampa habari hizo. Naye Ahabu akaenda kukutana na Elia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Basi, Obadia akaenda kwa mfalme Ahabu, akampa habari hizo. Naye Ahabu akaenda kukutana na Elia. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Basi Obadia akaenda kukutana na Ahabu na kumwambia; naye Ahabu akaenda kukutana na Ilya. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Basi Obadia akaenda kukutana na Ahabu na kumwambia, naye Ahabu akaenda kukutana na Ilya. Tazama sura |