Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

1 Wafalme 18:14 - Swahili Revised Union Version

14 Nawe sasa wasema, Nenda umwambie bwana wako, Tazama, Eliya yupo; basi, ataniua.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

14 Sasa waniambia ati niende kumwambia bwana wangu kwamba wewe Elia uko hapa! Ahabu ataniua.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

14 Sasa waniambia ati niende kumwambia bwana wangu kwamba wewe Elia uko hapa! Ahabu ataniua.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

14 Sasa waniambia ati niende kumwambia bwana wangu kwamba wewe Elia uko hapa! Ahabu ataniua.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

14 Nawe sasa unaniambia niende kwa bwana wangu na kumwambia, ‘Ilya yuko hapa.’ Yeye ataniua!”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

14 Nawe sasa unaniambia niende kwa bwana wangu na kumwambia, ‘Ilya yuko hapa.’ Yeye ataniua!”

Tazama sura Nakili

1 Wafalme 18:14
4 Marejeleo ya Msalaba  

Je! Bwana wangu hakuambiwa nilivyofanya hapo Yezebeli alipowaua manabii wa BWANA? Jinsi nilivyowaficha manabii wa BWANA, watu mia moja, hamsini hamsini katika pango, nikawalisha chakula na kuwapa maji?

Eliya akasema, Kama BWANA wa majeshi aishivyo ambaye ninasimama mbele zake, hakika nitajionesha kwake leo.

Msiwaogope wauuao mwili, wasiweze kuiua na roho; afadhali mwogopeni yule awezaye kuangamiza mwili na roho pia katika Jehanamu.

Samweli akasema, Nawezaje kwenda? Sauli akipata habari, ataniua. Basi BWANA akasema, Chukua ndama pamoja nawe, ukaseme, Nimekuja ili kumtolea BWANA dhabihu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo