1 Wafalme 17:5 - Swahili Revised Union Version5 Basi akaenda akafanya kama alivyosema BWANA; kwa kuwa alikwenda akakaa karibu na kijito cha Kerithi, kinachokabili Yordani. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Basi, Elia akatii agizo la Mwenyezi-Mungu, akaenda kukaa kwenye kijito cha Kerithi kilichoko mashariki ya mto Yordani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Basi, Elia akatii agizo la Mwenyezi-Mungu, akaenda kukaa kwenye kijito cha Kerithi kilichoko mashariki ya mto Yordani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Basi, Elia akatii agizo la Mwenyezi-Mungu, akaenda kukaa kwenye kijito cha Kerithi kilichoko mashariki ya mto Yordani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Naye akafanya kama alivyoambiwa na Mwenyezi Mungu. Akaenda katika Kijito cha Kerithi, mashariki mwa Yordani na akakaa huko. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Hivyo akafanya kile alichoambiwa na bwana. Akaenda katika Kijito cha Kerithi, mashariki ya Yordani na akakaa huko. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI5 Basi akaenda akafanya kama alivyosema BWANA; kwa kuwa alikwenda akakaa karibu na kijito cha Kerithi, kinachokabili Yordani. Tazama sura |