1 Wafalme 13:20 - Swahili Revised Union Version20 Hata ikawa, walipokuwa wameketi mezani, neno la BWANA likamjia nabii yule aliyemrudisha; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema20 Walipokuwa mezani, neno la Mwenyezi-Mungu likamjia huyo nabii mzee, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 Walipokuwa mezani, neno la Mwenyezi-Mungu likamjia huyo nabii mzee, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 Walipokuwa mezani, neno la Mwenyezi-Mungu likamjia huyo nabii mzee, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu20 Walipokuwa wameketi mezani, neno la Mwenyezi Mungu likamjia yule nabii mzee aliyemrudisha huyo mtu wa Mungu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu20 Wakati walipokuwa wameketi mezani, neno la bwana likamjia yule nabii mzee aliyemrudisha huyo mtu wa Mungu. Tazama sura |