1 Wafalme 13:13 - Swahili Revised Union Version13 Akawaambia wanawe, Nitandikieni punda. Wakamtandikia punda, naye akampanda. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Naye akawaambia watoto wake, “Nitandikieni huyo punda.” Nao wakamtandikia punda, na mzee akapanda juu yake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Naye akawaambia watoto wake, “Nitandikieni huyo punda.” Nao wakamtandikia punda, na mzee akapanda juu yake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Naye akawaambia watoto wake, “Nitandikieni huyo punda.” Nao wakamtandikia punda, na mzee akapanda juu yake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Hivyo akawaambia wanawe, “Nitandikieni punda.” Walipokwisha kumtandikia punda, akampanda Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Hivyo akawaambia wanawe, “Nitandikieni punda.” Walipokwisha kumtandikia punda, akampanda Tazama sura |