1 Wafalme 13:10 - Swahili Revised Union Version10 Basi akaenda zake kwa njia nyingine, wala hakurudi kwa njia ile aliyoijia Betheli. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Basi, mtu huyo akaenda zake, wala hakurudi kwa njia ile aliyoijia Betheli. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Basi, mtu huyo akaenda zake, wala hakurudi kwa njia ile aliyoijia Betheli. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Basi, mtu huyo akaenda zake, wala hakurudi kwa njia ile aliyoijia Betheli. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Hivyo, akafuata njia nyingine na hakurudi kupitia njia aliyokuwa ameijia Betheli. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Kwa hiyo akafuata njia nyingine na hakurudi kupitia njia ile ambayo alikuwa ameijia Betheli. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI10 Basi akaenda zake kwa njia nyingine, wala hakurudi kwa njia ile aliyoijia Betheli. Tazama sura |