Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

1 Wafalme 12:23 - Swahili Revised Union Version

23 Mwambie Rehoboamu mwana wa Sulemani, mfalme wa Yuda, na jamaa yote ya Yuda na Benyamini, na watu waliosalia, ukisema,

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

23 “Mwambie Rehoboamu mwana wa Solomoni, mfalme wa Yuda, na watu wote wa kabila la Yuda na Benyamini na watu wengine,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

23 “Mwambie Rehoboamu mwana wa Solomoni, mfalme wa Yuda, na watu wote wa kabila la Yuda na Benyamini na watu wengine,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

23 “Mwambie Rehoboamu mwana wa Solomoni, mfalme wa Yuda, na watu wote wa kabila la Yuda na Benyamini na watu wengine,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

23 “Mwambie Rehoboamu mwana wa Sulemani, mfalme wa Yuda, na nyumba yote ya Yuda na Benyamini, na watu wengine wote,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

23 “Mwambie Rehoboamu mwana wa Sulemani mfalme wa Yuda, na nyumba yote ya Yuda na Benyamini, na watu wengine wote,

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

23 Mwambie Rehoboamu mwana wa Sulemani, mfalme wa Yuda, na jamaa yote ya Yuda na Benyamini, na watu waliosalia, ukisema,

Tazama sura Nakili

1 Wafalme 12:23
2 Marejeleo ya Msalaba  

Lakini kwa habari za wana wa Israeli waliokaa katika miji ya Yuda, Rehoboamu aliwatawala wao.

Na kwamba kitu chochote cha ile nyama, iliyo kwa ajili ya kuweka kwa kazi takatifu, au chochote cha hiyo mikate, kikisalia hata asubuhi, ndipo utavichoma kwa moto hivyo vilivyosalia; havitaliwa, maana, ni vitu vitakatifu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo