1 Wafalme 11:10 - Swahili Revised Union Version10 akamwamuru katika habari ya jambo lilo hilo asifuate miungu mingine; lakini yeye hakuyashika aliyoyaamuru BWANA. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 na kumwamuru asiiabudu miungu ya kigeni; Solomoni hakutii amri ya Mwenyezi-Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 na kumwamuru asiiabudu miungu ya kigeni; Solomoni hakutii amri ya Mwenyezi-Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 na kumwamuru asiiabudu miungu ya kigeni; Solomoni hakutii amri ya Mwenyezi-Mungu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Ingawa alikuwa amemkataza Sulemani kufuata miungu mingine, Sulemani hakutii amri ya Mwenyezi Mungu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Ingawa alikuwa amemkataza Sulemani kufuata miungu mingine, Sulemani hakutii amri ya bwana. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI10 akamwamuru katika habari ya jambo lilo hilo asifuate miungu mingine; lakini yeye hakuyashika aliyoyaamuru BWANA. Tazama sura |