1 Wafalme 10:29 - Swahili Revised Union Version29 Tena gari huja kutoka katika Misri kwa shekeli mia sita za fedha, na farasi mmoja kwa mia moja na hamsini; hivyo basi watu wakawaletea wafalme wote wa Wahiti, na wafalme wa Shamu, mikononi mwao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema29 Gari moja la kukokotwa liliweza kununuliwa huko Misri kwa fedha ipatayo kilo 7, na farasi mmoja aliweza kugharimu fedha kilo 2. Wafanyabiashara wa mfalme walisafirisha magari na farasi hao na kuwauzia wafalme wote wa Wahiti na wa Wasiria. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND29 Gari moja la kukokotwa liliweza kununuliwa huko Misri kwa fedha ipatayo kilo 7, na farasi mmoja aliweza kugharimu fedha kilo 2. Wafanyabiashara wa mfalme walisafirisha magari na farasi hao na kuwauzia wafalme wote wa Wahiti na wa Wasiria. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza29 Gari moja la kukokotwa liliweza kununuliwa huko Misri kwa fedha ipatayo kilo 7, na farasi mmoja aliweza kugharimu fedha kilo 2. Wafanyabiashara wa mfalme walisafirisha magari na farasi hao na kuwauzia wafalme wote wa Wahiti na wa Wasiria. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu29 Walinunua magari ya vita kutoka Misri kwa shekeli mia sita za fedha kila moja, na kila farasi kwa shekeli mia moja na hamsini; na wakawauzia wafalme wote wa Wahiti na wa Waaramu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu29 Waliagiza magari kutoka Misri kwa bei ya shekeli 600 za fedha na farasi kwa shekeli 150. Pia waliwauza nje kwa wafalme wote wa Wahiti na wa Waaramu. Tazama sura |