1 Samueli 9:23 - Swahili Revised Union Version23 Samweli akamwambia mpishi, Lete ile sehemu niliyokupa, hiyo niliyokuambia, Iweke kando. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema23 Samueli akamwambia mpishi, “Lete ile sehemu niliyokupatia, nikakuambia uiweke kando.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND23 Samueli akamwambia mpishi, “Lete ile sehemu niliyokupatia, nikakuambia uiweke kando.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza23 Samueli akamwambia mpishi, “Lete ile sehemu niliyokupatia, nikakuambia uiweke kando.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu23 Samweli akamwambia mpishi, “Leta ile sehemu ya nyama niliyokupa, ile niliyokuambia iweke kando.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu23 Samweli akamwambia mpishi, “Leta ile sehemu ya nyama niliyokupa, ile niliyokuambia iweke kando.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI23 Samweli akamwambia mpishi, Lete ile sehemu niliyokupa, hiyo niliyokuambia, Iweke kando. Tazama sura |