1 Samueli 9:15 - Swahili Revised Union Version15 Basi BWANA alikuwa amemfunulia Samweli, siku moja kabla Sauli hajamwendea, akisema, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Jana yake, kabla Shauli hajafika mjini hapo, Mwenyezi-Mungu alikuwa amemwambia hivi Samueli: Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Jana yake, kabla Shauli hajafika mjini hapo, Mwenyezi-Mungu alikuwa amemwambia hivi Samueli: Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Jana yake, kabla Shauli hajafika mjini hapo, Mwenyezi-Mungu alikuwa amemwambia hivi Samueli: Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Basi siku moja kabla Sauli hajaja, Mwenyezi Mungu alikuwa amemfunulia Samweli jambo hili: Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Basi siku moja kabla Sauli hajaja, bwana alikuwa amemfunulia Samweli jambo hili: Tazama suraBIBLIA KISWAHILI15 Basi BWANA alikuwa amemfunulia Samweli, siku moja kabla Sauli hajamwendea, akisema, Tazama sura |