1 Samueli 8:21 - Swahili Revised Union Version21 Samweli akayasikia maneno yote ya watu, akayanena masikioni mwa BWANA. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema21 Samueli alipokwisha sikiliza kila kitu walichosema, akaenda na kumweleza Mwenyezi-Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 Samueli alipokwisha sikiliza kila kitu walichosema, akaenda na kumweleza Mwenyezi-Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 Samueli alipokwisha sikiliza kila kitu walichosema, akaenda na kumweleza Mwenyezi-Mungu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu21 Samweli aliposikia yote watu waliyosema, akarudia kuyasema mbele za Mwenyezi Mungu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu21 Samweli aliposikia yote watu waliyosema, akarudia kuyasema mbele za bwana. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI21 Samweli akayasikia maneno yote ya watu, akayanena masikioni mwa BWANA. Tazama sura |