1 Samueli 8:19 - Swahili Revised Union Version19 Lakini hao watu wakakataa kuisikiliza sauti ya Samweli; wakasema, Sivyo hivyo; lakini tunataka kuwa na mfalme juu yetu; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 Hata hivyo watu walikataa kumsikiliza Samueli, wakasema, “La! Sisi tutakuwa na mfalme juu yetu, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Hata hivyo watu walikataa kumsikiliza Samueli, wakasema, “La! Sisi tutakuwa na mfalme juu yetu, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Hata hivyo watu walikataa kumsikiliza Samueli, wakasema, “La! Sisi tutakuwa na mfalme juu yetu, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 Lakini watu wakakataa kumsikiliza Samweli wakasema, “Hapana! Tunataka mfalme wa kututawala. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 Lakini watu wakakataa kumsikiliza Samweli wakasema, “Hapana! Tunataka mfalme wa kututawala. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI19 Lakini hao watu wakakataa kuisikiliza sauti ya Samweli; wakasema, Sivyo hivyo; lakini tunataka kuwa na mfalme juu yetu; Tazama sura |