1 Samueli 8:13 - Swahili Revised Union Version13 Na binti zenu atawatwaa kuwa watengenezaji wa marhamu, wapishi na waokaji. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Binti zenu atawachukua kuwa watengenezaji marashi, wengine wapishi na wengine waokaji mikate. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Binti zenu atawachukua kuwa watengenezaji marashi, wengine wapishi na wengine waokaji mikate. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Binti zenu atawachukua kuwa watengenezaji marashi, wengine wapishi na wengine waokaji mikate. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Atawachukua binti zenu kuwa watengeneza manukato, wapishi na waokaji. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Atawachukua binti zenu kuwa watengeneza manukato, wapishi na waokaji. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI13 Na binti zenu atawatwaa kuwa watengenezaji wa marhamu, wapishi na waokaji. Tazama sura |