1 Samueli 7:5 - Swahili Revised Union Version5 Samweli akasema, Wakusanyeni Waisraeli wote Mispa, nami nitawaombea ninyi kwa BWANA. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Kisha, Samueli akawaita Waisraeli wote wakutane huko Mizpa, akawaambia, “Huko nitamwomba Mwenyezi-Mungu kwa ajili yenu.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Kisha, Samueli akawaita Waisraeli wote wakutane huko Mizpa, akawaambia, “Huko nitamwomba Mwenyezi-Mungu kwa ajili yenu.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Kisha, Samueli akawaita Waisraeli wote wakutane huko Mizpa, akawaambia, “Huko nitamwomba Mwenyezi-Mungu kwa ajili yenu.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 Kisha Samweli akasema, “Wakusanyeni Israeli wote huko Mispa, nami nitawaombea kwa Mwenyezi Mungu.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 Kisha Samweli akasema, “Wakusanyeni Israeli wote huko Mispa, nami nitawaombea ninyi kwa bwana.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI5 Samweli akasema, Wakusanyeni Waisraeli wote Mispa, nami nitawaombea ninyi kwa BWANA. Tazama sura |