1 Samueli 30:4 - Swahili Revised Union Version4 Ndipo Daudi na watu waliokuwa pamoja naye wakapaza sauti zao na kulia, hadi walipokuwa hawana nguvu za kulia tena. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Ndipo Daudi na watu wake walipoangua kilio, wakalia hadi walipoishiwa nguvu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Ndipo Daudi na watu wake walipoangua kilio, wakalia hadi walipoishiwa nguvu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Ndipo Daudi na watu wake walipoangua kilio, wakalia hadi walipoishiwa nguvu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Hivyo Daudi na watu wake wakapaza sauti na kulia hadi wakaishiwa na nguvu za kulia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Hivyo Daudi na watu wake wakapiga yowe mpaka wakaishiwa na nguvu za kulia. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI4 Ndipo Daudi na watu waliokuwa pamoja naye wakapaza sauti zao na kulia, hadi walipokuwa hawana nguvu za kulia tena. Tazama sura |