Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

1 Samueli 30:3 - Swahili Revised Union Version

3 Basi Daudi na watu wake walipoufikia mji, tazama, ulikuwa umechomwa moto; na wake zao, na watoto wao, wanaume kwa wanawake, wamechukuliwa mateka.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

3 Daudi na watu wake walipofika mjini waliukuta mji umeteketezwa, na wanawake, watoto wao wa kiume na wa kike, wamechukuliwa mateka.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

3 Daudi na watu wake walipofika mjini waliukuta mji umeteketezwa, na wanawake, watoto wao wa kiume na wa kike, wamechukuliwa mateka.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

3 Daudi na watu wake walipofika mjini waliukuta mji umeteketezwa, na wanawake, watoto wao wa kiume na wa kike, wamechukuliwa mateka.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

3 Daudi na watu wake walipofika Siklagi, wakakuta mji umeangamizwa kwa moto na wake zao pamoja na wana wao wa kiume na wa kike wamechukuliwa mateka.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

3 Daudi na watu wake walipofika Siklagi, wakakuta mji umeangamizwa kwa moto na wake zao pamoja na wana wao na binti zao wamechukuliwa mateka.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

3 Basi Daudi na watu wake walipoufikia mji, tazama, ulikuwa umechomwa moto; na wake zao, na watoto wao, wanaume kwa wanawake, wamechukuliwa mateka.

Tazama sura Nakili

1 Samueli 30:3
7 Marejeleo ya Msalaba  

Mateso ya mwenye haki ni mengi, Lakini BWANA kutoka kwayo yote.

Maana yeye ambaye Bwana ampenda, humuonya Naye humpiga kila mwana amkubaliye.

Tazama, nakupa walio wa sinagogi la Shetani, wasemao kwamba ni Wayahudi, nao sio, bali wasema uongo. Tazama, nitawafanya waje kusujudu mbele ya miguu yako, na kujua ya kuwa nimekupenda.

Daudi akakaa huko Gathi pamoja na Akishi, yeye na watu wake, kila mtu na watu wa nyumbani mwake; Daudi naye alikuwa na wakeze wawili, Ahinoamu wa Yezreeli, na Abigaili wa Karmeli, aliyekuwa mkewe Nabali.

nao wamewachukua mateka wanawake waliokuwamo wakubwa kwa wadogo; hawakuwaua wowote, ila wakawachukua, wakaenda zao.

Ndipo Daudi na watu waliokuwa pamoja naye wakapaza sauti zao na kulia, hadi walipokuwa hawana nguvu za kulia tena.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo