1 Samueli 30:31 - Swahili Revised Union Version31 na kwa hao wa Hebroni, na kwa hao wa kila mahali alipotembelea Daudi mwenyewe na watu wake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema31 na wakazi wa Hebroni. Daudi aliwapelekea pia wakazi wa miji yote ambako yeye na watu wake walitembelea. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND31 na wakazi wa Hebroni. Daudi aliwapelekea pia wakazi wa miji yote ambako yeye na watu wake walitembelea. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza31 na wakazi wa Hebroni. Daudi aliwapelekea pia wakazi wa miji yote ambako yeye na watu wake walitembelea. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu31 na kwa wakazi wa Hebroni; na kwa wale waliokuwa mahali pengine pote ambako Daudi na watu wake walitembelea. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu31 na kwa wakazi wa Hebroni; na kwa wale waliokuwa mahali pengine pote ambako Daudi na watu wake walitembelea. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI31 na kwa hao wa Hebroni, na kwa hao wa kila mahali alipotembelea Daudi mwenyewe na watu wake. Tazama sura |