1 Samueli 28:6 - Swahili Revised Union Version6 Lakini Sauli alipouliza kwa BWANA, BWANA hakumjibu, wala kwa ndoto, wala kwa Urimu, wala kwa manabii. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Hata alipomwomba Mwenyezi-Mungu shauri, Mwenyezi-Mungu hakumjibu kwa ndoto, kwa mawe ya kauli, wala kwa njia ya manabii. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Hata alipomwomba Mwenyezi-Mungu shauri, Mwenyezi-Mungu hakumjibu kwa ndoto, kwa mawe ya kauli, wala kwa njia ya manabii. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Hata alipomwomba Mwenyezi-Mungu shauri, Mwenyezi-Mungu hakumjibu kwa ndoto, kwa mawe ya kauli, wala kwa njia ya manabii. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Ndipo Sauli akauliza ushauri kwa Mwenyezi Mungu, lakini Mwenyezi Mungu hakumjibu kwa ndoto, wala kwa Urimu, wala kupitia manabii. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Ndipo Sauli akauliza ushauri kwa bwana, lakini bwana hakumjibu kwa ndoto, wala kwa Urimu, wala kwa njia ya manabii. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI6 Lakini Sauli alipouliza kwa BWANA, BWANA hakumjibu, wala kwa ndoto, wala kwa Urimu, wala kwa manabii. Tazama sura |