1 Samueli 28:25 - Swahili Revised Union Version25 kisha akamwandalia Sauli na watumishi wake; wakala. Ndipo wakaondoka, wakaenda zao usiku ule. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema25 Akampa Shauli, akawapa pia watumishi wake, nao wakala. Halafu wakaondoka na kwenda zao wakati huohuo usiku. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND25 Akampa Shauli, akawapa pia watumishi wake, nao wakala. Halafu wakaondoka na kwenda zao wakati huohuo usiku. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza25 Akampa Shauli, akawapa pia watumishi wake, nao wakala. Halafu wakaondoka na kwenda zao wakati huohuo usiku. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu25 Ndipo akamwandalia meza Sauli pamoja na watu wake, nao wakala. Usiku ule ule wakainuka na kwenda zao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu25 Ndipo akamwandalia meza Sauli pamoja na watu wake, nao wakala. Usiku ule ule wakainuka na kwenda zao. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI25 kisha akamwandalia Sauli na watumishi wake; wakala. Ndipo wakaondoka, wakaenda zao usiku ule. Tazama sura |