1 Samueli 28:16 - Swahili Revised Union Version16 Samweli akasema, Kwa nini unaniuliza mimi, wakati BWANA amekuacha, naye amekuwa adui yako? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Samueli akasema, “Kwa nini unaniomba shauri ambapo Mwenyezi-Mungu amekupa kisogo na amekuwa adui yako? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Samueli akasema, “Kwa nini unaniomba shauri ambapo Mwenyezi-Mungu amekupa kisogo na amekuwa adui yako? Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Samueli akasema, “Kwa nini unaniomba shauri ambapo Mwenyezi-Mungu amekupa kisogo na amekuwa adui yako? Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Samweli akamuuliza, “Kwa nini uniulize mimi, kuona Mwenyezi Mungu amekuacha na kuwa adui yako? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Samweli akamuuliza, “Kwa nini uniulize mimi, maadamu bwana amekuacha na kuwa adui yako? Tazama suraBIBLIA KISWAHILI16 Samweli akasema, Kwa nini unaniuliza mimi, wakati BWANA amekuacha, naye amekuwa adui yako? Tazama sura |