1 Samueli 25:23 - Swahili Revised Union Version23 Ndipo hapo Abigaili alipomwona Daudi, alifanya haraka kushuka juu ya punda wake, akamwangukia Daudi kifudifudi, akainama mpaka chini. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema23 Abigaili alipomwona tu Daudi, akashuka mara moja kutoka juu ya punda wake, na kuinama mbele ya Daudi hadi uso wake ukagusa chini. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND23 Abigaili alipomwona tu Daudi, akashuka mara moja kutoka juu ya punda wake, na kuinama mbele ya Daudi hadi uso wake ukagusa chini. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza23 Abigaili alipomwona tu Daudi, akashuka mara moja kutoka juu ya punda wake, na kuinama mbele ya Daudi hadi uso wake ukagusa chini. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu23 Abigaili alipomwona Daudi, akashuka haraka kwenye punda wake, akamsujudia Daudi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu23 Abigaili alipomwona Daudi, akashuka haraka kwenye punda wake, akainama kifudifudi uso wake mpaka nchi mbele ya Daudi. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI23 Ndipo hapo Abigaili alipomwona Daudi, alifanya haraka kushuka juu ya punda wake, akamwangukia Daudi kifudifudi, akainama mpaka chini. Tazama sura |