1 Samueli 25:22 - Swahili Revised Union Version22 Mungu naye awafanyie hivyo adui za Daudi, na kuzidi, nikimwachia katika wote walio wake hata mtoto mmoja wa kiume, kutakapopambazuka. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema22 Mungu na aniue mimi ikiwa kesho asubuhi nitakuwa sijawaua wanaume wake wote.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND22 Mungu na aniue mimi ikiwa kesho asubuhi nitakuwa sijawaua wanaume wake wote.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza22 Mungu na aniue mimi ikiwa kesho asubuhi nitakuwa sijawaua wanaume wake wote.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu22 Mwenyezi Mungu na amwadhibu Daudi vikali zaidi, ikiwa kesho asubuhi nitambakizia mwanaume hata mmoja hai miongoni mwa watu wake wote!” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu22 bwana na amshughulikie Daudi, tena kwa ukali, ikiwa kesho asubuhi nitambakizia mwanaume hata mmoja aliye hai miongoni mwa watu wake wote!” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI22 Mungu naye awafanyie hivyo adui za Daudi, na kuzidi, nikimwachia katika wote walio wake hata mtoto mmoja wa kiume, kutakapopambazuka. Tazama sura |