Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




1 Samueli 24:19 - Swahili Revised Union Version

19 Maana mtu akimwona adui yake, je! Atamwacha aende zake salama? Basi BWANA na akulipe mema kwa haya uliyonitendea leo.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

19 Je, mtu akimkamata adui yake atamwacha aende salama? Kwa lile ulilonitendea, Mwenyezi-Mungu na akupe tuzo jema!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

19 Je, mtu akimkamata adui yake atamwacha aende salama? Kwa lile ulilonitendea, Mwenyezi-Mungu na akupe tuzo jema!

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

19 Je, mtu akimkamata adui yake atamwacha aende salama? Kwa lile ulilonitendea, Mwenyezi-Mungu na akupe tuzo jema!

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

19 Je, mtu ampatapo adui yake, humwacha aende zake bila kumdhuru? Mwenyezi Mungu na akulipe mema kwa jinsi ulivyonitenda leo.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

19 Je, mtu ampatapo adui yake, humwacha aende zake bila kumdhuru? bwana na akulipe mema kwa jinsi ulivyonitenda leo.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

19 Maana mtu akimwona adui yake, je! Atamwacha aende zake salama? Basi BWANA na akulipe mema kwa haya uliyonitendea leo.

Tazama sura Nakili




1 Samueli 24:19
8 Marejeleo ya Msalaba  

BWANA alinitendea sawasawa na haki yangu, Sawasawa na usafi wa mikono yangu akanilipa.


Naye akamwambia mama yake, Hizo fedha elfu na mia moja ulizoibiwa, na kuweka laana kwa ajili yake na kusema masikioni mwangu, tazama, ninazo mimi hizo fedha; ni mimi niliyezitwaa. Mama yake akasema, Mwanangu na abarikiwe na BWANA.


BWANA akujaze kwa kazi yako, nawe upewe thawabu kamili na BWANA, Mungu wa Israeli, ambaye umekuja kukimbilia chini ya mabawa yake.


Akamwambia, Usiogope, kwa maana mkono wa Sauli, babangu, hautakupata; na wewe utakuwa mfalme juu ya Israeli; na mimi nitakuwa makamu wako; ndivyo ajuavyo hata Sauli, babangu.


Naye Sauli akasema, Na mbarikiwe ninyi na BWANA; kwa sababu mmenihurumia.


BWANA humlipa kila mtu kulingana na haki na uaminifu wake; maana BWANA amekutia mikononi mwangu leo, nami nilikataa kuunyosha mkono wangu juu ya masihi wa BWANA.


Ndipo Sauli akamwambia Daudi, Ubarikiwe, Daudi, mwanangu; utatenda mambo makuu, tena hakika yako utashinda. Basi, Daudi akaenda zake; Sauli naye akarudi kwao.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo