1 Samueli 21:3 - Swahili Revised Union Version3 Kuna nini basi, chini ya mkono wako? Nipe mkononi mwangu mikate mitano, au chochote ulicho nacho hapa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Je, una kitu chochote? Nakuomba mikate mitano au chochote kilichoko.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Je, una kitu chochote? Nakuomba mikate mitano au chochote kilichoko.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Je, una kitu chochote? Nakuomba mikate mitano au chochote kilichoko.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Sasa basi, una nini mkononi? Nipatie mikate mitano au chochote unachoweza kupata.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Sasa basi, una nini mkononi? Nipatie mikate mitano au chochote unachoweza kupata.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI3 Kuna nini basi, chini ya mkono wako? Nipe mkononi mwangu mikate mitano, au chochote ulicho nacho hapa. Tazama sura |