Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

1 Samueli 21:15 - Swahili Revised Union Version

15 Je! Mimi nina haja ya watu wenye wazimu, hata mmemleta kiumbe huyu ili aoneshe wazimu wake machoni pangu? Je! Huyu ataingia nyumbani mwangu?

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

15 Je, nawahitaji wendawazimu zaidi? Kwa nini mnaniletea mwendawazimu aje kunisumbua na vitendo vya wendawazimu? Je, mtu huyu ataingia nyumbani kwangu?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

15 Je, nawahitaji wendawazimu zaidi? Kwa nini mnaniletea mwendawazimu aje kunisumbua na vitendo vya wendawazimu? Je, mtu huyu ataingia nyumbani kwangu?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

15 Je, nawahitaji wendawazimu zaidi? Kwa nini mnaniletea mwendawazimu aje kunisumbua na vitendo vya wendawazimu? Je, mtu huyu ataingia nyumbani kwangu?”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

15 Je, mimi nimepungukiwa na wenda wazimu kiasi kwamba mmeniletea mtu huyo hapa aendelee kufanya hivi mbele yangu? Je, ilikuwa ni lazima mtu huyo aje nyumbani mwangu?”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

15 Je, mimi nimepungukiwa na wenda wazimu kiasi kwamba mmeniletea mtu huyo hapa aendelee kufanya hivi mbele yangu? Je, ilikuwa ni lazima mtu huyo aje nyumbani kwangu?”

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

15 Je! Mimi nina haja ya watu wenye wazimu, hata mmemleta kiumbe huyu ili aonyeshe wazimu wake machoni pangu? Je! Huyu ataingia nyumbani mwangu?

Tazama sura Nakili

1 Samueli 21:15
3 Marejeleo ya Msalaba  

Wakuu wameniudhi bure, Ila moyo wangu unakaa kwa kicho cha maneno yako.

Ndipo huyo Akishi akawaambia watumishi wake, Angalieni, mnaona ya kuwa mtu huyu ana wazimu; basi, maana yake nini kumleta kwangu?

Basi Daudi akaondoka huko, akakimbilia pango la Adulamu; na ndugu zake na watu wote wa ukoo wa baba yake waliposikia habari hiyo, wakamwendea huko.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo