Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

1 Samueli 20:39 - Swahili Revised Union Version

39 Lakini yule mtoto hakujua lolote. Yonathani na Daudi ndio walioijua habari yenyewe.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

39 Lakini yule kijana hakujua chochote juu ya maana ya kitendo hicho. Waliojua ni Yonathani na Daudi tu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

39 Lakini yule kijana hakujua chochote juu ya maana ya kitendo hicho. Waliojua ni Yonathani na Daudi tu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

39 Lakini yule kijana hakujua chochote juu ya maana ya kitendo hicho. Waliojua ni Yonathani na Daudi tu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

39 (Mvulana hakujua chochote kuhusu hayo yote; Yonathani na Daudi tu ndio waliojua.)

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

39 (Mvulana hakujua chochote juu ya hayo yote; Yonathani na Daudi tu ndio waliojua.)

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

39 Lakini yule mtoto hakujua lolote. Yonathani na Daudi ndio walioijua habari yenyewe.

Tazama sura Nakili

1 Samueli 20:39
2 Marejeleo ya Msalaba  

Yonathani akampigia mtoto kelele, Haya! Hima! Usikawie. Mtoto wa Yonathani akaikusanya mishale, akaenda kwa bwana wake.

Naye Yonathani akampa mtoto silaha zake, akamwambia, Nenda, ukazichukue mjini.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo