1 Samueli 20:35 - Swahili Revised Union Version35 Hata asubuhi Yonathani akatoka kwenda shambani wakati ule alioagana na Daudi, na mtoto mdogo alikuwa pamoja naye. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema35 Kesho yake asubuhi, Yonathani alikwenda kule shambani, kukutana na Daudi kama walivyoagana. Alikwenda huko na kijana mmoja wa kiume. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND35 Kesho yake asubuhi, Yonathani alikwenda kule shambani, kukutana na Daudi kama walivyoagana. Alikwenda huko na kijana mmoja wa kiume. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza35 Kesho yake asubuhi, Yonathani alikwenda kule shambani, kukutana na Daudi kama walivyoagana. Alikwenda huko na kijana mmoja wa kiume. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu35 Kesho yake asubuhi Yonathani alienda shambani kukutana na Daudi. Alikuwa amefuatana na mvulana mdogo, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu35 Kesho yake asubuhi Yonathani alikwenda shambani kukutana na Daudi. Alikuwa amefuatana na mvulana mdogo, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI35 Hata asubuhi Yonathani akatoka kwenda shambani wakati ule alioagana na Daudi, na mtoto mdogo alikuwa pamoja naye. Tazama sura |