Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




1 Samueli 20:23 - Swahili Revised Union Version

23 Na kwa habari ya neno lile tulilonena, wewe na mimi, angalia BWANA yu kati ya wewe na mimi milele.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

23 Kulingana na ahadi tulizowekeana, Mwenyezi-Mungu atakuwa shahidi kati yetu milele.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

23 Kulingana na ahadi tulizowekeana, Mwenyezi-Mungu atakuwa shahidi kati yetu milele.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

23 Kulingana na ahadi tulizowekeana, Mwenyezi-Mungu atakuwa shahidi kati yetu milele.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

23 Kuhusu yale tuliyozungumza wewe na mimi: kumbuka, Mwenyezi Mungu ndiye shahidi kati yako wewe na mimi milele.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

23 Kuhusu yale tuliyozungumza wewe na mimi: kumbuka, bwana ndiye shahidi kati yako wewe na mimi milele.”

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

23 Na kwa habari ya neno lile tulilonena, wewe na mimi, angalia BWANA yu kati ya wewe na mimi milele.

Tazama sura Nakili




1 Samueli 20:23
7 Marejeleo ya Msalaba  

Sarai akamwambia Abramu, Ubaya ulionipata na uwe juu yako; nimekupa mjakazi wangu kifuani mwako, naye alipoona kwamba amepata mimba, mimi nimekuwa duni machoni pake. BWANA na ahukumu kati ya mimi na wewe.


na Mispa, maana alisema, Mungu avizie kati ya mimi na wewe, wakati tusipoonana.


Ukiwatesa binti zangu, na ukitwaa wake zaidi ya binti zangu, wala hapana mtu pamoja nasi, tazama, Mungu ni shahidi kati ya mimi na wewe.


Mungu wa Abrahamu, na Mungu wa Nahori, Mungu wa baba yao, ahukumu kati yetu. Yakobo akaapa kwa Hofu ya Isaka baba yake.


Basi Daudi akajificha shambani; na mwezi ulipoandama, mfalme aliketi kula chakula.


Naye Yonathani akamwambia Daudi, Nenda kwa amani; kwa maana sisi sote wawili tumeapiana kwa jina la BWANA ya kwamba, BWANA atakuwa kati ya mimi na wewe, na kati ya uzao wangu na uzao wako milele. Daudi akaondoka, akaenda zake; Yonathani naye akaenda zake mjini.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo