Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

1 Samueli 20:20 - Swahili Revised Union Version

20 Nami nitapiga mishale mitatu kandokando yake, kana kwamba ninapiga shabaha.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

20 Mimi nitapiga mishale mitatu kandokando kana kwamba ninalenga shabaha fulani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

20 Mimi nitapiga mishale mitatu kandokando kana kwamba ninalenga shabaha fulani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

20 Mimi nitapiga mishale mitatu kandokando kana kwamba ninalenga shabaha fulani.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

20 Nitapiga mishale mitatu kando yake, kana kwamba nilienda kulenga shabaha.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

20 Nitapiga mishale mitatu kando yake, kama kwamba nilikwenda kulenga shabaha.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

20 Nami nitapiga mishale mitatu kandokando yake, kana kwamba ninapiga shabaha.

Tazama sura Nakili

1 Samueli 20:20
3 Marejeleo ya Msalaba  

Nawe ukingoja siku tatu, shuka upesi ufike kuko huko ulikojificha, siku ya shughuli ile; nawe kaa karibu na kile kichuguu kule.

Kisha, angalia, nitamtuma mtoto na kumwambia, Nenda ukaitafute mishale. Hapo nikimwambia yule mtoto, Tazama, mishale iko upande wako huu, itwae; basi uje, maana iko amani kwako, wala hapana hatari, BWANA aishivyo.

Akamwambia mtoto wake, Piga mbio, ukaitafute mishale niipigayo. Na yule mtoto alipokuwa akipiga mbio, akapiga mshale, ukapita juu yake.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo