1 Samueli 20:19 - Swahili Revised Union Version19 Nawe ukingoja siku tatu, shuka upesi ufike kuko huko ulikojificha, siku ya shughuli ile; nawe kaa karibu na kile kichuguu kule. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 Tena, kesho kutwa, watu watakukosa kabisa. Siku hiyo nenda mahali ambapo ulijificha wakati jambo hili lilipokuwa bado motomoto, ukajifiche nyuma ya rundo la mawe. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Tena, kesho kutwa, watu watakukosa kabisa. Siku hiyo nenda mahali ambapo ulijificha wakati jambo hili lilipokuwa bado motomoto, ukajifiche nyuma ya rundo la mawe. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Tena, kesho kutwa, watu watakukosa kabisa. Siku hiyo nenda mahali ambapo ulijificha wakati jambo hili lilipokuwa bado motomoto, ukajifiche nyuma ya rundo la mawe. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 Kesho kutwa, inapokaribia jioni, nenda mahali pale ulipojificha wakati tatizo hili lilipoanza na usubiri karibu na jiwe la Ezeli. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 Kesho kutwa, inapokaribia jioni, nenda mahali pale ulipojificha wakati tatizo hili lilipoanza na usubiri karibu na jiwe la Ezeli. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI19 Nawe ukingoja siku tatu, shuka upesi ufike huko huko ulikojificha, siku ya shughuli ile; nawe kaa karibu na kile kichuguu kule. Tazama sura |