1 Samueli 2:2 - Swahili Revised Union Version2 Hakuna aliye mtakatifu kama BWANA; Kwa maana hakuna yeyote ila wewe, Wala hakuna mwamba kama Mungu wetu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 “Hakuna aliye mtakatifu kama Mwenyezi-Mungu; hakuna yeyote aliye kama yeye; hakuna aliye mwamba kama Mungu wetu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 “Hakuna aliye mtakatifu kama Mwenyezi-Mungu; hakuna yeyote aliye kama yeye; hakuna aliye mwamba kama Mungu wetu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 “Hakuna aliye mtakatifu kama Mwenyezi-Mungu; hakuna yeyote aliye kama yeye; hakuna aliye mwamba kama Mungu wetu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 “Hakuna yeyote aliye mtakatifu kama Mwenyezi Mungu, hakuna mwingine zaidi yako; hakuna Mwamba kama Mungu wetu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 “Hakuna yeyote aliye mtakatifu kama bwana, hakuna mwingine zaidi yako; hakuna Mwamba kama Mungu wetu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI2 Hakuna aliye mtakatifu kama BWANA; Kwa maana hakuna yeyote ila wewe, Wala hakuna mwamba kama Mungu wetu. Tazama sura |