1 Samueli 2:18 - Swahili Revised Union Version18 Lakini Samweli alikuwa akitumika mbele za BWANA, naye alikuwa kijana aliyevaa naivera ya kitani. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Wakati huo, kijana Samueli aliendelea kumtumikia Mwenyezi-Mungu, akiwa amevaa kizibao cha kitani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Wakati huo, kijana Samueli aliendelea kumtumikia Mwenyezi-Mungu, akiwa amevaa kizibao cha kitani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Wakati huo, kijana Samueli aliendelea kumtumikia Mwenyezi-Mungu, akiwa amevaa kizibao cha kitani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Lakini Samweli alikuwa akihudumu mbele za Mwenyezi Mungu, kijana akivaa kizibau cha kitani. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Lakini Samweli alikuwa akihudumu mbele za bwana, kijana akivaa kisibau cha kitani. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI18 Lakini Samweli alikuwa akitumika mbele za BWANA, naye alikuwa kijana aliyevaa naivera ya kitani. Tazama sura |