1 Samueli 18:29 - Swahili Revised Union Version29 Naye Sauli akazidi kumwogopa Daudi; tangu wakati huo, Sauli akawa adui yake Daudi daima. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema29 alizidi kumwogopa Daudi. Shauli akawa adui wa Daudi daima. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND29 alizidi kumwogopa Daudi. Shauli akawa adui wa Daudi daima. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza29 alizidi kumwogopa Daudi. Shauli akawa adui wa Daudi daima. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu29 Sauli akazidi kumwogopa Daudi, naye Sauli akabaki kuwa adui yake siku zote za maisha yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu29 Sauli akazidi kumwogopa Daudi, naye Sauli akabaki kuwa adui yake siku zote za maisha yake. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI29 Naye Sauli akazidi kumwogopa Daudi; tangu wakati huo, Sauli akawa adui yake Daudi daima. Tazama sura |