Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




1 Samueli 18:28 - Swahili Revised Union Version

28 Sauli akaona na kutambua ya kwamba BWANA alikuwa pamoja na Daudi; na huyo Mikali, binti Sauli, akampenda.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

28 Lakini Shauli alipoona wazi kwamba Mwenyezi-Mungu alikuwa pamoja na Daudi, na kuwa Mikali binti yake alimpenda mno Daudi,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

28 Lakini Shauli alipoona wazi kwamba Mwenyezi-Mungu alikuwa pamoja na Daudi, na kuwa Mikali binti yake alimpenda mno Daudi,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

28 Lakini Shauli alipoona wazi kwamba Mwenyezi-Mungu alikuwa pamoja na Daudi, na kuwa Mikali binti yake alimpenda mno Daudi,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

28 Sauli alipotambua kuwa Mwenyezi Mungu alikuwa pamoja na Daudi na kwamba Mikali binti yake anampenda Daudi,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

28 Sauli alipotambua kuwa bwana alikuwa pamoja na Daudi na kwamba Mikali binti yake anampenda Daudi,

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

28 Sauli akaona na kutambua ya kwamba BWANA alikuwa pamoja na Daudi; na huyo Mikali, binti Sauli, akampenda.

Tazama sura Nakili




1 Samueli 18:28
10 Marejeleo ya Msalaba  

Wakasema, Hakika tuliona ya kwamba BWANA alikuwa pamoja nawe; nasi tukasema, Na tuapiane, sisi na wewe, na kufanya mapatano nawe


Labani akamwambia, Iwapo nimeona fadhili machoni pako, kaa, maana nimetambua ya kwamba BWANA amenibariki kwa ajili yako.


Bwana wake akaona ya kwamba BWANA yu pamoja naye, na ya kuwa BWANA anafanikisha mambo yote mkononi mwake.


Tazama, nakupa walio wa sinagogi la Shetani, wasemao kwamba ni Wayahudi, nao sio, bali wasema uongo. Tazama, nitawafanya waje kusujudu mbele ya miguu yako, na kujua ya kuwa nimekupenda.


Walakini Mikali, binti Sauli, alimpenda Daudi; watu wakamwambia Sauli, na neno hilo likampendeza.


basi Daudi akainuka, akaenda yeye na watu wake, akaua katika Wafilisti watu mia mbili; na Daudi akazileta govi zao, wakampa mfalme hesabu kamili, ili awe mkwewe mfalme. Naye Sauli akamwoza Mikali, binti yake.


Naye Sauli akazidi kumwogopa Daudi; tangu wakati huo, Sauli akawa adui yake Daudi daima.


Na sasa, angalia, ninajua ya kuwa hakika utakuwa mfalme, na ufalme wa Israeli utafanyika imara mkononi mwako.


Ndipo Sauli akamwambia Daudi, Ubarikiwe, Daudi, mwanangu; utatenda mambo makuu, tena hakika yako utashinda. Basi, Daudi akaenda zake; Sauli naye akarudi kwao.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo