1 Samueli 17:56 - Swahili Revised Union Version56 Basi mfalme akasema, Uliza wewe, kijana huyu ni mwana wa nani. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema56 Mfalme Shauli akamwambia, “Basi, uliza yeye ni kijana wa nani.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND56 Mfalme Shauli akamwambia, “Basi, uliza yeye ni kijana wa nani.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza56 Mfalme Shauli akamwambia, “Basi, uliza yeye ni kijana wa nani.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu56 Mfalme akasema, “Uliza huyu kijana ni mwana wa nani.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu56 Mfalme akasema, “Uliza huyu kijana ni mwana wa nani.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI56 Basi mfalme akasema, Uliza wewe, kijana huyu ni mwana wa nani. Tazama sura |