1 Samueli 17:24 - Swahili Revised Union Version24 Na watu wote wa Israeli walipomwona yule mtu wakakimbia, wakaogopa sana. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema24 Waisraeli walipomwona Goliathi, walimkimbia, na kumwogopa sana. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND24 Waisraeli walipomwona Goliathi, walimkimbia, na kumwogopa sana. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza24 Waisraeli walipomwona Goliathi, walimkimbia, na kumwogopa sana. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu24 Waisraeli walipomwona yule mtu, wote wakamkimbia kwa woga mkuu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu24 Waisraeli walipomwona yule mtu, wote wakamkimbia kwa woga mkuu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI24 Na watu wote wa Israeli walipomwona yule mtu wakakimbia, wakaogopa sana. Tazama sura |