Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

1 Samueli 17:16 - Swahili Revised Union Version

16 Kwa siku arubaini yule Mfilisti alijitokeza na kusimama mbele asubuhi na jioni.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

16 Kwa muda wa siku arubaini, asubuhi na jioni, yule Mfilisti Goliathi alijitokeza hadharani, akasimama na kuwakejeli wanajeshi wa Israeli.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

16 Kwa muda wa siku arubaini, asubuhi na jioni, yule Mfilisti Goliathi alijitokeza hadharani, akasimama na kuwakejeli wanajeshi wa Israeli.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

16 Kwa muda wa siku arubaini, asubuhi na jioni, yule Mfilisti Goliathi alijitokeza hadharani, akasimama na kuwakejeli wanajeshi wa Israeli.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

16 Kwa siku arobaini huyo Mfilisti alikuwa akija mbele kila siku asubuhi na jioni na kujionesha.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

16 Kwa siku arobaini huyo Mfilisti alikuwa akija mbele kila siku asubuhi na jioni na kujionyesha.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

16 Kwa siku arobaini yule Mfilisti alijitokeza na kusimama mbele asubuhi na jioni.

Tazama sura Nakili

1 Samueli 17:16
4 Marejeleo ya Msalaba  

Akafunga siku arubaini mchana na usiku, mwishowe akaona njaa.

akijaribiwa na Ibilisi. Na siku hizo alikuwa hali kitu; na zilipotimia, aliona njaa.

Basi Daudi alikuwa akienda kwa Sauli na kurudi ili awalishe kondoo za baba yake huko Bethlehemu.

Ndipo Yese akamwambia Daudi mwanawe, Haya! Sasa wapelekee ndugu zako efa ya bisi, na mikate hii kumi, ipeleke upesi kambini kwa ndugu zako;

Tufuate:

Matangazo

Matangazo