1 Samueli 17:14 - Swahili Revised Union Version14 Naye huyo Daudi alikuwa mdogo wa wote; na hao watatu waliokuwa wakubwa wakafuatana na Sauli. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Daudi alikuwa ndiye mdogo wa wote. Wale watoto watatu wakubwa walikuwa wamekwenda na Shauli. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Daudi alikuwa ndiye mdogo wa wote. Wale watoto watatu wakubwa walikuwa wamekwenda na Shauli. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Daudi alikuwa ndiye mdogo wa wote. Wale watoto watatu wakubwa walikuwa wamekwenda na Shauli. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Daudi ndiye alikuwa mdogo wa wote. Hao wakubwa watatu wakamfuata Sauli, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Daudi ndiye alikuwa mdogo wa wote. Hao wakubwa watatu wakamfuata Sauli, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI14 Naye huyo Daudi alikuwa mdogo wa wote; na hao watatu waliokuwa wakubwa wakafuatana na Sauli. Tazama sura |