1 Samueli 15:27 - Swahili Revised Union Version27 Naye Samweli alipogeuka, aende zake, Sauli akaushika upindo wa vazi lake, nalo likararuka. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema27 Samueli alipogeuka ili aende zake, Shauli akashika pindo la vazi lake, nalo likapasuka. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND27 Samueli alipogeuka ili aende zake, Shauli akashika pindo la vazi lake, nalo likapasuka. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza27 Samueli alipogeuka ili aende zake, Shauli akashika pindo la vazi lake, nalo likapasuka. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu27 Samweli alipogeuka ili aondoke, Sauli akang’ang’ania pindo la joho lake, nalo likararuka. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu27 Samweli alipogeuka ili aondoke, Sauli akang’ang’ania pindo la joho lake, nalo likararuka. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI27 Naye Samweli alipogeuka, aende zake, Sauli akaushika upindo wa vazi lake, nalo likararuka. Tazama sura |