1 Samueli 15:16 - Swahili Revised Union Version16 Ndipo Samweli akamwambia Sauli, Ngoja, nami nitakuambia neno aliloniambia BWANA usiku huu. Naye akamwambia, Haya, sema. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Samueli akamkatiza Shauli, “Nyamaza! Nitakuambia jambo aliloniambia Mwenyezi-Mungu leo usiku.” Shauli akasema, “Niambie.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Samueli akamkatiza Shauli, “Nyamaza! Nitakuambia jambo aliloniambia Mwenyezi-Mungu leo usiku.” Shauli akasema, “Niambie.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Samueli akamkatiza Shauli, “Nyamaza! Nitakuambia jambo aliloniambia Mwenyezi-Mungu leo usiku.” Shauli akasema, “Niambie.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Samweli akamwambia Sauli, “Ngoja! Nami nitakuambia lile Mwenyezi Mungu aliloniambia usiku huu.” Sauli akajibu, “Niambie.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Samweli akamwambia Sauli, “Ngoja! Nami nitakuambia lile bwana aliloniambia usiku huu.” Sauli akajibu, “Niambie.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI16 Ndipo Samweli akamwambia Sauli, Ngoja, nami nitakuambia neno aliloniambia BWANA usiku huu. Naye akamwambia, Haya, sema. Tazama sura |