1 Samueli 14:48 - Swahili Revised Union Version48 Naye kwa ushujaa, akawapiga Waamaleki, na kuwaokoa Waisraeli kutoka kwa mikono ya waliowateka nyara. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema48 Alipigana kwa uhodari, akawashinda Waamaleki. Aliwaokoa Waisraeli kutoka kwa watu wote waliowashambulia. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND48 Alipigana kwa uhodari, akawashinda Waamaleki. Aliwaokoa Waisraeli kutoka kwa watu wote waliowashambulia. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza48 Alipigana kwa uhodari, akawashinda Waamaleki. Aliwaokoa Waisraeli kutoka kwa watu wote waliowashambulia. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu48 Akapigana kishujaa na kuwashinda Waamaleki, akiikomboa Israeli kutoka mikono ya wale waliokuwa wamewateka nyara. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu48 Akapigana kishujaa na kuwashinda Waamaleki, akiikomboa Israeli kutoka mikono ya wale waliokuwa wamewateka nyara. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI48 Naye kwa ushujaa, akawapiga Waamaleki, na kuwaokoa Waisraeli kutoka katika mikono ya waliowateka nyara. Tazama sura |