1 Samueli 14:46 - Swahili Revised Union Version46 Ndipo Sauli akakwea kuacha kuwafuata Wafilisti; nao Wafilisti wakaenda zao kwao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema46 Kisha Shauli aliacha kuwafuatia Wafilisti, nao Wafilisti wakarudi makwao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND46 Kisha Shauli aliacha kuwafuatia Wafilisti, nao Wafilisti wakarudi makwao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza46 Kisha Shauli aliacha kuwafuatia Wafilisti, nao Wafilisti wakarudi makwao. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu46 Kisha Sauli akaacha kuwafuata Wafilisti, nao wakajiondoa na kurudi katika nchi yao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu46 Kisha Sauli akaacha kuwafuata Wafilisti, nao wakajiondoa na kurudi katika nchi yao. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI46 Ndipo Sauli akakwea kuacha kuwafuata Wafilisti; nao Wafilisti wakaenda zao kwao. Tazama sura |