1 Samueli 12:21 - Swahili Revised Union Version21 Wala msigeuke upande, maana, kufuata vitu vya ubatili, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema21 Msiifuate miungu ya uongo isiyo na faida wala haiwezi kuwaokoa, maana ni ya uongo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 Msiifuate miungu ya uongo isiyo na faida wala haiwezi kuwaokoa, maana ni ya uongo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 Msiifuate miungu ya uongo isiyo na faida wala haiwezi kuwaokoa, maana ni ya uongo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu21 Msigeukie sanamu batili. Haziwezi kuwatendea jema, wala haziwezi kuwaokoa kwa sababu hazina maana. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu21 Msigeukie sanamu zisizofaa. Haziwezi kuwatendea jema, wala haziwezi kuwaokoa kwa sababu hazina maana. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI21 Wala msigeuke upande, maana, kufuata vitu vya ubatili, Tazama sura |