1 Samueli 12:20 - Swahili Revised Union Version20 Samweli akawaambia, Msiogope; ni kweli mmeutenda uovu huu wote; lakini msigeuke na kuacha kumfuata BWANA, bali mtumikieni BWANA kwa mioyo yenu yote. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema20 Samueli akawajibu, “Msiogope; ingawa mmefanya uovu huu, msiache kumfuata Mwenyezi-Mungu, ila mtumikieni kwa moyo wenu wote. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 Samueli akawajibu, “Msiogope; ingawa mmefanya uovu huu, msiache kumfuata Mwenyezi-Mungu, ila mtumikieni kwa moyo wenu wote. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 Samueli akawajibu, “Msiogope; ingawa mmefanya uovu huu, msiache kumfuata Mwenyezi-Mungu, ila mtumikieni kwa moyo wenu wote. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu20 Samweli akajibu, “Msiogope, mmefanya uovu huu wote; hata hivyo msimwache Mwenyezi Mungu, bali mtumikieni Mwenyezi Mungu kwa moyo wote. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu20 Samweli akajibu, “Msiogope, mmefanya uovu huu wote; hata hivyo msimwache bwana, bali mtumikieni bwana kwa moyo wenu wote. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI20 Samweli akawaambia, Msiogope; ni kweli mmeutenda uovu huu wote; lakini msigeuke na kuacha kumfuata BWANA, bali mtumikieni BWANA kwa mioyo yenu yote. Tazama sura |