1 Samueli 11:2 - Swahili Revised Union Version2 Huyo Nahashi, Mwamoni, akawaambia, Kwa sharti hili mimi nitapatana nanyi, kila mtu ang'olewe jicho la kulia; na kwa jambo hilo nitawashutumu Waisraeli wote pia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Lakini akawaambia, “Nitafanya mapatano nanyi kwa sharti moja kwamba nitamngoa kila mmoja wenu jicho lake la kulia; hivyo nitawaaibisha Waisraeli wote.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Lakini akawaambia, “Nitafanya mapatano nanyi kwa sharti moja kwamba nitamngoa kila mmoja wenu jicho lake la kulia; hivyo nitawaaibisha Waisraeli wote.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Lakini akawaambia, “Nitafanya mapatano nanyi kwa sharti moja kwamba nitamng'oa kila mmoja wenu jicho lake la kulia; hivyo nitawaaibisha Waisraeli wote.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Lakini Nahashi yule Mwamoni akajibu, “Nitafanya mkataba na ninyi tu kwa sharti kwamba nitang’oa jicho la kulia la kila mmoja wenu, na hivyo kuleta aibu juu ya Israeli yote.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Lakini Nahashi yule Mwamoni akajibu, “Nitafanya mkataba na ninyi tu kwa sharti kwamba nitang’oa jicho la kulia la kila mmoja wenu, na hivyo kuleta aibu juu ya Israeli yote.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI2 Huyo Nahashi, Mwamoni, akawaambia, Kwa sharti hili mimi nitapatana nanyi, kila mtu ang'olewe jicho la kulia; na kwa jambo hilo nitawashutumu Waisraeli wote pia. Tazama sura |