Biblia ya mtandaoni

Matangazo

Biblia nzima Agano la Kale Agano Jipya

Zekaria 7:1 - Swahili Revised Union Version

Ikawa katika mwaka wa nne wa mfalme Dario, neno la BWANA lilimjia Zekaria, siku ya nne ya mwezi wa tisa, yaani, Kislevu.

Tazama sura

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

Mnamo mwaka wa nne wa utawala wa mfalme Dario, siku ya nne ya mwezi wa tisa, yaani Kislevu, neno la Mwenyezi-Mungu lilinijia mimi Zekaria.

Tazama sura

Biblia Habari Njema - BHND

Mnamo mwaka wa nne wa utawala wa mfalme Dario, siku ya nne ya mwezi wa tisa, yaani Kislevu, neno la Mwenyezi-Mungu lilinijia mimi Zekaria.

Tazama sura

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

Mnamo mwaka wa nne wa utawala wa mfalme Dario, siku ya nne ya mwezi wa tisa, yaani Kislevu, neno la Mwenyezi-Mungu lilinijia mimi Zekaria.

Tazama sura

Neno: Bibilia Takatifu

Katika mwaka wa nne wa utawala wa Mfalme Dario, neno la Mwenyezi Mungu lilimjia Zekaria siku ya nne ya mwezi wa tisa, mwezi wa Kisleu.

Tazama sura

Neno: Maandiko Matakatifu

Katika mwaka wa nne wa utawala wa Mfalme Dario, neno la bwana lilimjia Zekaria siku ya nne ya mwezi wa tisa, mwezi wa Kisleu.

Tazama sura

BIBLIA KISWAHILI

Ikawa katika mwaka wa nne wa mfalme Dario, neno la BWANA lilimjia Zekaria, siku ya nne ya mwezi wa tisa, yaani, Kislevu.

Tazama sura
Tafsiri zingine

Zekaria 7:1
6 Marejeleo ya Msalaba  

Habari za Nehemia, mwana wa Hakalia. Ikawa katika mwezi wa Kislevu, mwaka wa ishirini, nilipokuwapo Shushani ngomeni,

Siku ya ishirini na nne, ya mwezi wa tisa, katika mwaka wa pili wa Dario, neno la BWANA lilikuja kwa kinywa cha nabii Hagai, kusema,

Kisha neno la BWANA likamjia Hagai mara ya pili, siku ya ishirini na nne ya mwezi, kusema,

Katika mwezi wa nane, mwaka wa pili wa Dario, neno la BWANA lilimjia Zekaria, mwana wa Berekia, mwana wa Ido, nabii, kusema,

Neno la BWANA likanijia, kusema,