Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Zekaria 7:1 - Swahili Revised Union Version

1 Ikawa katika mwaka wa nne wa mfalme Dario, neno la BWANA lilimjia Zekaria, siku ya nne ya mwezi wa tisa, yaani, Kislevu.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

1 Mnamo mwaka wa nne wa utawala wa mfalme Dario, siku ya nne ya mwezi wa tisa, yaani Kislevu, neno la Mwenyezi-Mungu lilinijia mimi Zekaria.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

1 Mnamo mwaka wa nne wa utawala wa mfalme Dario, siku ya nne ya mwezi wa tisa, yaani Kislevu, neno la Mwenyezi-Mungu lilinijia mimi Zekaria.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

1 Mnamo mwaka wa nne wa utawala wa mfalme Dario, siku ya nne ya mwezi wa tisa, yaani Kislevu, neno la Mwenyezi-Mungu lilinijia mimi Zekaria.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

1 Katika mwaka wa nne wa utawala wa Mfalme Dario, neno la Mwenyezi Mungu lilimjia Zekaria siku ya nne ya mwezi wa tisa, mwezi wa Kisleu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

1 Katika mwaka wa nne wa utawala wa Mfalme Dario, neno la bwana lilimjia Zekaria siku ya nne ya mwezi wa tisa, mwezi wa Kisleu.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

1 Ikawa katika mwaka wa nne wa mfalme Dario, neno la BWANA lilimjia Zekaria, siku ya nne ya mwezi wa tisa, yaani, Kislevu.

Tazama sura Nakili

Zekaria 7:1
6 Marejeleo ya Msalaba  

Habari za Nehemia, mwana wa Hakalia. Ikawa katika mwezi wa Kislevu, mwaka wa ishirini, nilipokuwapo Shushani ngomeni,

Siku ya ishirini na nne, ya mwezi wa tisa, katika mwaka wa pili wa Dario, neno la BWANA lilikuja kwa kinywa cha nabii Hagai, kusema,

Kisha neno la BWANA likamjia Hagai mara ya pili, siku ya ishirini na nne ya mwezi, kusema,

Katika mwezi wa nane, mwaka wa pili wa Dario, neno la BWANA lilimjia Zekaria, mwana wa Berekia, mwana wa Ido, nabii, kusema,

Neno la BWANA likanijia, kusema,

Tufuate:

Matangazo

Matangazo