Katika mwezi wa nane, mwaka wa pili wa Dario, neno la BWANA lilimjia Zekaria, mwana wa Berekia, mwana wa Ido, nabii, kusema,
Zekaria 6:9 - Swahili Revised Union Version Neno la BWANA likanijia, kusema, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Neno la Mwenyezi-Mungu likanijia: Biblia Habari Njema - BHND Neno la Mwenyezi-Mungu likanijia: Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Neno la Mwenyezi-Mungu likanijia: Neno: Bibilia Takatifu Neno la Mwenyezi Mungu likanijia kusema: Neno: Maandiko Matakatifu Neno la bwana likanijia kusema: BIBLIA KISWAHILI Neno la BWANA likanijia, kusema, |
Katika mwezi wa nane, mwaka wa pili wa Dario, neno la BWANA lilimjia Zekaria, mwana wa Berekia, mwana wa Ido, nabii, kusema,
Ikawa katika mwaka wa nne wa mfalme Dario, neno la BWANA lilimjia Zekaria, siku ya nne ya mwezi wa tisa, yaani, Kislevu.