BWANA akaniambia, Ujipatie ubao mkubwa ukaandike juu yake kwa hati ya kawaida, Kwa Maher-shalal-hash-bazi;
Zekaria 5:1 - Swahili Revised Union Version Basi, nikainua macho yangu tena, nikaona, na tazama, gombo la kitabu lirukalo. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Nilipotazama tena niliona kitabu kinaruka angani. Biblia Habari Njema - BHND Nilipotazama tena niliona kitabu kinaruka angani. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Nilipotazama tena niliona kitabu kinaruka angani. Neno: Bibilia Takatifu Nikatazama tena: na hapo mbele yangu kulikuwa na kitabu kinachoruka! Neno: Maandiko Matakatifu Nikatazama tena: na hapo mbele yangu kulikuwa na kitabu kilichoruka! BIBLIA KISWAHILI Basi, nikainua macho yangu tena, nikaona, na tazama, gombo la chuo lirukalo. |
BWANA akaniambia, Ujipatie ubao mkubwa ukaandike juu yake kwa hati ya kawaida, Kwa Maher-shalal-hash-bazi;
Akaniuliza, Unaona nini? Nikajibu, Naona gombo la kitabu lirukalo; na urefu wake ni dhiraa ishirini, na upana wake dhiraa kumi.
Na katika mkono wake alikuwa na kitabu kidogo kimefunguliwa. Akaweka mguu wake wa kulia juu ya bahari, nao wa kushoto juu ya nchi.